Wednesday, September 9, 2009

Q Jay anatarajia kwenda kumtembelea mkali mwenzie chuoni

Msanii Joseph Mapunda aka Q Jay wa kundi la wakali kwanza anatarajia kwenda Bagamoyo kesho kumtembelea Makamua ambae ni member mwenzie wa kundi la Wakali kwanza,
akiongea na KU inc bloggy amesema anakwenda kubadilishana mawazo ya kisanaa zaidi,hata hivyo alihamisika baada ya kusikia kuwa mwenzie Makamua anakipiaga kwenye timu ya Chuo cha Sanaa Bagamoyo zamani sasa hivi ni TaSUBa yaani Taasis ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo.

No comments:

Post a Comment