Tuesday, September 8, 2009

Makopa Inc is back....

Mambo vp?ebwana si unalijua kundi zima la Makopa Inc?hapa namwongelea Mb Dog,Yakuza mobb nawasanii kibao,sasa Mb Dog anatarajia kurud ktk game kwa speed ya ajabu. Je wee unamzungumziaje king of makopa Mb Dog?unaushauri gan kwake?tunahitaji mawazo yako ili tufanye mabadiliko ya ukweli...

No comments:

Post a Comment