Thursday, September 10, 2009

Bagamoyo Arts & Culture Festival

Hii jaman si wiki ya kukosa ni ndani ya Chuo cha Sanaa Bagamoyo kuanzia tarehe 28/09 - 03/10/2009
Kutakua na vikundi mbalimbali vya sanaa... yaan patakua na sanaa tofauti kutoka ndani na nje ya nchi wote mnakaribishwa.......

No comments:

Post a Comment