Monday, February 1, 2010

Blast 100.5 n DJ JD at 100.5 Times fm

Ni raha iliyoje kwa wale wote wapenz wa burudan kwan niwakati wako wakupata burudan uliyoikosa kwa muda mrefu...
The Everlast dj Dj Jd amerudisha burudan radion,BLAST 100.5 nikipindi chako pekee utakachopata fleva zaukwel ndan na nje ya bongo kupitia Times fm 100.5 kila cku za j3-ijumaa kuanzia saa 10jion - saa1ucku.. Ucpitwe na burudan mtu wangu

No comments:

Post a Comment