Monday, February 1, 2010

2010... Wasanii na jamii

Inapendeza kuona tumeuanza mwaka njema japo kuna wenzetu wamepata maafa...
Chakufurahisha zaid ni pale kila msanii unaekutana nae anakwambia huu ni mwaka wake,jamii anategemea mengi toka kwa wasanii kwani wao ndo kioo chajamii..
Tumeona kazi nyingi mpya na nzuri,wasanii wameshirikiana njema ktk kutengeneza nyimbo mbalimbali sisi twawatakia kila la kheri wasanii wote tunategemea mengi toka kwenu kwan ameahid mengi kwa jamii,tunategemea album bora,single bora na colabo zaukwel jaman. PAMOJA TUNAWEZA

No comments:

Post a Comment