Sunday, September 13, 2009

Producer Bano aelekea masomoni na kuachana na muziki.

Producer aliyekuwa anakuja juu kwa kasi ya ajabu kwa jina la Bano inasemekana yupo India kwa ajili ya masomo.Nilivyoongea nae alikuwa na haya ya kusema;
"Yap,nipo India man this is like my 5th week,nimepamiss home and music pia,ila haimaanishi kuwa nimeachana na muziki kwa ujumla  kwasababu ndo the only activity which can release my stress so siwezi achana na muziki.Thanks 2 the fans cause hata nilivyofika huku haikuwa ngumu sana people kunitambua so i still got the same love ambayo nilikuwa naipata Bongo ingawa huku swala zima la hip hop ni DESHI ndugu yangu...wanahitaji extra push so as wawe na love kivileee na hip hop...ila wanapendelea trance,metal rock music and zile native songs zao za kihindi ambayo wabongo inakuwa si mara kwa mara tunasikiliza aina hizo za nyimbo.Clubs zao they have African Nights ndo wanakuwa wanagonga ngoma za kiafrica aspecially za kiganda,kenya na West Africa...nyimbo za kibongo zinapigwa ila kwa wabongo ni kama old school flani hivi.manyimbo ya kama miezi 6 mpaka mwaka uliopita ndo ni kama latest kwao..so what i did nimekuwa nawapa joints ambazo zinakuwa zimebamba bongo wao wanakuwa waintroduce every ijumaa...so every friday waswahili wanakuwa wanajaa club just 4 the new songs to be introduced....About my music career i know i`m doing good with it....i did a couple of projects with the people ambao najua wanafanya vizuri kwenye game ya kiswahili so i believe that nitakuwa fine though competition ipo juu sana but thats business kwaio inahitaji kujipanga zaidi kuliko porojo"anamaliza Bano.                                                                                                                                                            Kwa mawasiliano binafsi na bano unaweza ukafanya nae kupitia facebook.com/albano bano francis au twitter.com/banostylez.

No comments:

Post a Comment