Msanii wamusic wabongo fleva Mb Dog baada yakukaa kimya kwa muda mrefu sasa kurudi hewan.
Mb Dog au King of Makopa kwakipindi chote alichokuwa kimya alikua anajipanga na kwasasa yupo tayari,kwa mashabiki wa Mb Dog soon watapata radha walizozikosa kwa muda mrefu...
No comments:
Post a Comment